Emags College of Arts & Media ni chuo biora chauandishi habari jijini arusha

Emags College of Arts & Media


THE EMAGS COLLEGE OF ARTS AND MEDIA NI CHUO BORA KILICHOKO JIJINI ARUSHA SASA KINAKUTANGAZIA KOZI ZIFUATAZO KWA MUHULA WA APRIL 4 NA JUNI 20 2016:

  • UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (Journalism)
  • UANDAAJI WA VIPINDI VYA LUNINGA,MATANGAZO,KUTENGENEZA MAKALA NA FILAMU
  • SALES AND MARKETING
  • PUBLIC RELATIONS AND ADVERTISING NA COMPUER APPLICATION


Monekano wa jengo la chuo kwa mbele 

Mkuu wa chuo Mr. Mramba (kushoto) akifurahia jambo na
 mkurugenzi wa idara ya fedha Bi Beatrece Magessa 


KOZI ZOTE HIZI NI KWA NGAZI YA CHETI MPAKA DIPLOMA. PIA TUNATOA KOZI FUPI ZA MIEZI MITATU KAMA: AUDIO AND VIDEO PRODUCTION KWA KUTENGENEZA MAKALA KUTUMIA ADOBE PREMIA NA ADOBE AUDITION, KUSANIFU KURASA ZA MAGAZETI NA MAJARIDA KWA KUTUMIA PROGRAM ZA KISASA. PIA TUNAFUNDISHA U-DJ MIXING KWA KUTUMIA VISUAL DJ NA PAYONA MASHINE.
Mwanafunzi wa Stashahada mwaka wa kwanza Salmin (DJ Sakbizo) Abbubakari akifanya mixing katika kipindi cha burudani. 

Baadhi ya wanafunzi wakifanya mjadala kama sehemu ya mafunzo.


CHUO CHA EMAGS KINASTUDIO ZA REDIO NA TELEVISION ZA KISASA KWA AJILI YA KUFUNDISHIA WANAFUNZI, COMPUTER LAB AMBAPO KILA MWANAFUNZI HUTUMIA COMPUTER YAKE. KUMBUKA CHUO CHETU KINAMILIKI GAZETI LA FUKUTO  AMBALO HUANDALIWA NA WANAFUNZI WENYEWE NA KUSAMBAZWA KILA WIKI JIJINI ARUSHA.

Wanafunzi Maurine Mramba (Kushoto) wakiwa studio na mwenzake Thomas Zablon wakifanya kipindi 
HATUJAMALIZA;TUNA MAKTABA YA KISASA YENYE VITABU VYA KUTOSHA,MITAALA YA KISASA YA KUFUNDISHIA KWENYE SOKO LA TASNIA YA HABARI YA MFUMO WA DIGITALI,MAZINGIRA RAFIKI YA KUSOMEA NA WALIMU WAZOEFU WALIOKO KWENYE TASNIA YA HABARI. WANAFUNZI WETU  HUTAFUTIWA SEHEMU YA KUFANYA MAZOEZI YA VITENDO NA MTANDAO WA KUPATA AJIRA.KINGEREZA NA COMPUTER NI BURE KWA WANAOSOMA KOZI ZA UANDISHI WA HABARI.
Picha za baadhi ya wanafunzi siku ya mahafali ya kuhitimu Ngazi tofautii tofauti

CHUO CHA HABARI NA SANAA CHA EMAGS COLLEGE KIMESAJILIWA NA NACTE KWA NAMBARI BTP/063P NA BARAZA LA HABARI TANZANIA (MCT ) KWA NAMBARI 052.
TUNAPATIKANA ARUSHA MJINI ILIBORU TENKI LA MAJI MKABALA NA TAKUKURU  BARABARA KUU IENDAYO MOSHI-ARUSHA. BEI ZETU NI NAFUU NA HOSTELI ZA CHUO  KWA WANAOHITAJI ZINAPATIKANA.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika darasa la kujifunzia kompyuta


Wanafunzi Stephano Ambroce (kuskoto) na Thomas Zablon wakifanya

vipindi studio kamasehemu ya mafunzo kwa vitendo 



KWA MAELEZO YA KINA NA UPATIKANAJI WA FOMU ZETU, TUPIGIE NAMBA 0784954257 .EMAGS COLLEGE HATUFUNDISHI TULICHOFUNDISHWA ILA TUNAKUPA KILE TULICHOFANYIA KAZI, KARIBUNI SANA.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »