Na James Fisoo
Hakika Microfinance Bank (HMB) ni benki iliyoanzishwa mwaka 2014 nakuanza kufanya kazi rasmi mwaka 2015 baada ya kuafikiwa na benki kuu ya Tanzania yaani BOT. Hakika Microfinance Bank yenye makao yake makuu jijini Arusha huku ikifanya kazi nchi nzima kwa mfumo wa kibenki unaotumia simu za mikononi (Mobile Banking).
Benki ya Hakika imekuwa ikifanya kazi kwa utaratibu uliowekwa na mamlaka husika huku ikiwahudumia wananchi wa kada zote ikiwa wale wa kipato hasa cha chini kama vile Gengeni , mama lishe . baba lishe , bodaboda.

Mkurugenzi wa Hakika Microfinance Bank Mh. Augustine P. Ntomola |
Benki ya Hakika imekuwa ikifanya kazi kwa utaratibu uliowekwa na mamlaka husika huku ikiwahudumia wananchi wa kada zote ikiwa wale wa kipato hasa cha chini kama vile Gengeni , mama lishe . baba lishe , bodaboda.
Tangu kuanzishwa kwake Benki ya Hakika imekuwa mahsusi katika kuhudumia kwa ufanisi wa hali ya juu kwani imekuwa benki yenye huduma za kipekee kama vile ya kuweka fedha katika akaunti na kutunziwa pesa bila malipo , bila kusahau huduma za akaunti kama vile Bidii akaunti amabayo inamruhusu kila mtu kufungua akaunti hii ikiwa Kioksi , Taksi ,Machinga ,Bodaboda , Genge , wauza matunda na mbonga mboga , Kinadada wa nyumbani , Hakika akaunti ambayo ni akaunti binafsi inayomuwezesha mtu kuweka akiba ambayo inamuwezesha mteja kufanya miamala kadiri awezavyo.
Benki ya hakikika ndiyo mbeki pekee inayowafikia wananchi wote nchini Tanzania hadi visiwani Zanzibar.
Mbali na huduma zote hizi pia benki hii inatoa huduma ya Mikopo mbalimbali za masharti nafuu kwa kila mwananchi. Mikopo hizo ni pamoja namikopo ya ada za shule au chuo , mikopo kwa ajili ya kununua chombo cha usafiri kama vile Toyo , Kirikuu , Bajaji , Kifodi nakadhalika...
Hakika Microfinance Bank pia wana akaunti maalum kwa ajili ya wana chuo inayofahamika kama Jipange Account. Hii akaunti ni maalum kwa ajili ya Wanachuo wenye malengo mbalimbali na kutimiza ndoto.
Vilevile Hakika inamuhakikisha kuwa kila mteja anayefungua akaunti yeyote hakuna makato ya aina yoyote huku ukipata riba juu ya kile unachowekeza.
kujua mengi zaidi kuhusu Hakika Microfinance Bank Bofya Hapa
EmoticonEmoticon