Wapenzi wa kichina wafunga ndoa kwenye daraja la kioo juu ya bonde

HOJA NEWS BLOG
Wanandoa walipanda wakiwa kwenye daraja la Shiniuzhai glass, tarehe 9 Agosti 2016Haki miliki ya pichaCHINA NEWS SERVICE
Si jambo linaloweza kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani katika daraja la kioo.
Licha ya kuelea angani yapata futi 590 kutoka usawa wa ardhi , waliweza kuonyesha tabasamu zao walipokuwa wakipigwa picha za harusi yao.
Madaraja ya vioo yamekuwa maarufu sana nchini uchina hivi karibuni.
Wanandoa walipanda wakielea kwenye daraja la Shiniuzhai glass wakati wa harusi yao tarehe 9 Agosti 2016Haki miliki ya pichaCHINA NEWS SERVICE
Wanandoa hao wakitazamwa na wapita njia na waandalizi wa harusi yao, tarehe 9 Agosti 2016Haki miliki ya pichaCHINA NEWS SERVICE
Image captionHapana, hatukuwa na uhakika ni vipi waliweza kufika huko
Bibi harusi akishuka kutoka kwenye daraja la kioo la Shiniuzhai tarehe, 9 Agosti 2016Haki miliki ya pichaCHINA NEWS SERVICE
Wiki chache tu zilizopita , maharusi wengine waliamua kuvalishana pete kwenye daraja hilo hili ingawa hawakutoka kwenye daraja
Several couples get married on Shiniuzhai , 21 July 2016Haki miliki ya pichaCHINA NEWS SERVICE
wapita njia walirusha puto jjuu ya daraja la vioo la Shiniuzhai, tarehe 21 Julai 2016Haki miliki ya pichaCHINA NEWS SERVICE

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »