Magaidi 2 wa PKK wameangamizwa katika oparesheni iliyofanyika katika vijiji vya ADIYAMAN me
Magaidi 2 wa PKK wameangamizwa katika oparesheni iliyofanyika katika vijiji vya Adiyaman.
Wizara ya mambo ya ndani imetoa taarifa kwamba katika muktadha wa usalama wa ndani iliandaa oparesheni katika vijiji vya Adiyaman. Katika oparesheni hiyo magaidi 2 waliangamizwa.
Taarifa hiyo ilibainisha kwamba oparesheni hizo bado zinaendelea
EmoticonEmoticon