VIJANA 23 WAZALENDO KUTOKA TANZANIA BARA NA VISIWANI KUZUNGUKA MIKOA YA KILIMANJARO, ARUSHA,NA MANYARA KWA MIGUU

HOJA NEWS BLOG

 Na Prisca libaga.

Vijana 23 wa skauti kutoka Tanzania bara na Visiwani  wameanza safari ya kutembea kwa miguu kutoka kilele cha mlima Kilimanjaro  kuelekea Mkoani Manyara kwa lengo la kushiriki katika kilele cha mbio za mwenge ambapo Mwenge unachotarajiwa kuzimwa mkoani humo Jumamosi Ijayo ya Oktoba 14,2023.


Vijana hao wamewasili Ofisi za Mkuu wa Mkoa Arusha wakiongozwa Mratibu wa skauti katika kundi Hilo wakitokea  kileleni mwa mlima Kilimanjaro huku kila wanakopita wakitoa ujumbe wa utanzaji mazingira na vyanzo vya Maji na kushiriki kazi mbalimbali katika vijiji vya pembezoni mwa barabara.

Mkuu wa wilaya ya Arusha Felician Mtahengerwa akimwakilisha Mkuu wa Mkoa Arusha John Mongella amektoa rai kwa vijana hao wazalendo  kutumia nafasi yao kutoa elimu kwa jamii.



MWISHO.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »