RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA TAARIFA YA MAANDALIZI YA MAZISHI

HOJA NEWS BLOG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo  Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.  John Mongella.






Share this

Related Posts

Previous
Next Post »