Mwamba wa Kaskazini Hayati Edward Lowassa akiwa katika Mkutano wa Utalii wa Mikutano Jijini Rio de Janeiro Nchini Brazil Mwaka 1989.Kulia ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Masoko na Mikutano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Danford Mpumilwa.
Je Mwamba Lowassa ana mchango gani katika Utalii wa Mikutano akiwa AICC) ? Lakini pia michezo katika jiji la Arusha na katika Klabu ya Waandishi wa Habari Arusha(APC) . Makala kamili Kesho asubuhi
EmoticonEmoticon